Home Lifestyle Afande Sele Asema Tuzo Ndizo Zilizompoteza 20 Percent.

Afande Sele Asema Tuzo Ndizo Zilizompoteza 20 Percent.

‘Mimi Ni Msanii, Kioo Cha Jamii‘ ni laini kutoka wimbo wa a wimbo uliotwa, “darubini kali”, ambao ulimwongezea umaarufu hadi kumsaidia kushinda tuzo ya Mfalme wa Rhymes.Licha ya kunyamaza sana katika sanaa ya muziki, hiyo jana star huyu alivunja ukimya wake na kummulika msanii 20 percent ambaye ni muda mrefu sasa tangu atoe wimbo mpya.

screenshot-www.google.com 2016-04-01 09-03-47Afande Sele

20 percent anayefahamika kwa kibao chake cha ”Ya nini Malumbano ” alipotea kwasababu ya kupata mingi, haya ni maneno yake Afande sele akizungumza jana katika mahojiana na kituo cha EATV.

”Kilichomtoa 20 Percent kwenye reli ya muziki ni baada ya kushinda tuzo 5 za KTMA kwa usiku mmoja’‘Alisema Afande Sele.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here