Home Lifestyle Alichokisema KHALIGRAPH JONES Kumhusu RAYVANNY Kitakuwacha Mdomo Wazi

Alichokisema KHALIGRAPH JONES Kumhusu RAYVANNY Kitakuwacha Mdomo Wazi

Msanii Wa Hip Hop Humu Nchini KHALIGRAPH JONES Amefunguka Kuwa Anakubali Wimbo wa #Kwetu ambao umeimbwa na RAYVANNY, Msanii Wa Bongo Flava anayetokea WCB WASAFI. Kupitia Mtandao Wake Wa Instagram, Mkali huyo wa Hitsong Ya #Mazishi alitupia video ya wimbo huo huku akiambatanisha na Haya maneno “Okay, Who is This Nigga?
The Composition if this song is Something else, The Stylistic devices used are also on fleek and the overall Message is just Perfect, Dudes Always ensure you are Open about your Background and where you come from before you let these ladies slip into your life, kama mimi ni wa Kayole na najivunia tu? “. RAYVANNY ni Mmoja wa Wasanii wa Bongo Flava Ambao Wanaokubalika Sana sasa hivi Nchini Kenya.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here