Home Lifestyle ALIKIBA Kutumbuiza Kwenye Tuzo Za AMVCA 2016, Lagos Jumamosi Hii

ALIKIBA Kutumbuiza Kwenye Tuzo Za AMVCA 2016, Lagos Jumamosi Hii

Alikiba ni Mmoja wa wasanii watakaotumbuiza kwenye tuzo za Africa Magic Viewers Choice Awards, AMVCA 2016 zinazotarajiwa kutolewa Jumamosi hii jijini Lagos, Nigeria. Tuzo hizo kubwa za filamu Afrika, zitaoneshwa live kupitia channel ya Africa Magic na Maisha Magic East kwenye DSTV. Kwenye tuzo hizo, waigizaji Elizabeth ‘Lulu’ Michael, Single ‘Richie’ Mtambalike na Yvonne ‘Monalisa’ Cherry walitahwa kuwania.

kiba2
Lulu alitajwa kuwania tuzo hizo kwenye kipengele cha Best Movie – East Africa kupitia filamu yake ya Mapenzi ya Mungu pamoja na Monalisa kupitia Daddy’s Wedding. Naye Richie alitajwa kupitia filamu ya Kitendawili ambapo pia ilitajwa kuwania kipengele cha ‘Best Indigenous Language Movie/TV Series.’

Chanzo: Bongo5 ( @skytanzania )

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here