Home Lifestyle CHIKUZEE-Am Back!!

CHIKUZEE-Am Back!!

Baada ya kimya cha mda mrefu Chikuzee ameamua kuzima kimya hicho kwa kuachia nyimbo kali sana aliyofanya na KASSIM MGANGA ndani ya studio ya MARCO CHALI.

Chikuzee alisema kwamba hakua kimya kwa kuogopa msanii yeyote bali alikuwa mapumzikoni tu.Akaongezea kwamba hawezi kupotea kwa hii game maana ameisoma kwa muda na yuko na uzoefu na mziki.

Vile vile kwa wale ambao walidhani Chikuzee ameogopa basi wajaribu kwenda likizo kama yeye kama wataweza kurudi kwenye game ya mziki.


“Nashukuru kwa mashabiki wangu wako na moyo na bidii kwa kila jambo nalofanya mpaka niko hapa.”  H
ayo ni maneno ya Chikuzee niliyoyanukuu akiwa kwa mahojiano na redio moja hapa mkoani.


Kazi ndo hii hapa

Courtsey of Pwani Usanii.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here