Home Lifestyle Bahati Azungumzia Kuhusu Kutemwa Nje Kwenye Tuzo Za Groove Awards 2017

Bahati Azungumzia Kuhusu Kutemwa Nje Kwenye Tuzo Za Groove Awards 2017

Bahati Azungumzia Kuhusu Kutemwa Nje Kwenye Tuzo Za Groove Awards 2017

Hivi majuzi walitangaza majina ya wasanii wa Gospel waliyeteuliwa kuwania tuzo za Groove Awards 2017 zitakazofanyika mapema mwezi ujao, miongoni mwa waliokosa kuteuliwa ni magwiji wawili wakali WILLY PAUL na BAHATI. Hapo jana Kupitia kipindi cha Mambo Mseto ya Radio Citizen kinachoongozwa na MZAZI WILLY M TUVA, Msanii BAHATI alizungumzia kuhusu kutoteuliwa kwenye tuzo hizo

“…..Wajua Msanii akibarikiwa kabla u break out kuna changamoto, ila mimi sichukulii kama changamoto una give thanks for everything, sababu ina maanisha mungu anakutoa kwa Nini fulani anakupeleka kwa nini kubwa zaidi, sababu mimi kama mimi nafkiri nimeshinda groove enough time, nimeshinda song of the year, video of the year, collabo of the year, male artiste, kwa ivyo sahu nafeel na na need growth, nahitaji something bigger sikuwa last year na siku expect kurudi, kitu kubwa ambayo tunafaa kusubiri ni BAHATI aletee BET ama MTV” BAHATI alimalizia kwa kuwa shukuru Groove Awards kwa kumpa support na pia kusistiza kuwa hawajokosana na waandaji wa tuzo hizo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here