Wasanii Wawili Wakali wa Humu Nchini BAMBOO na PREZZO Wanatarajia Kuachia ujio wao mpya #ZaOvyo Kabla ya masaa ishirini na nne. Hii itakuwa kazi ya pili wasanii hao kufanya kwa pamoja baada ya Shika nare.
Zidi Kutengea #MamboMseto ya Radio Citizen na @mzaziwillytuva na @djflashkenya na bila shaka utapata kusikiliza punde tu itakapoachiwa rasmi.