Home Lifestyle BENACHI Kuvunja Ukimya Na Wimbo Mpya ‘Tulia’

BENACHI Kuvunja Ukimya Na Wimbo Mpya ‘Tulia’

Msanii Mkali Wa Humu Nchini BENACHI Ambaye Sasa Hivi Yuko Nchini Marekani Ameachia Kazi Yake Mpya Inayokwenda Kwa Jina ‘Tulia’.

benachi-kabz-post

BENACHI Alitamba Na Wimbo ‘Mwanake’ akiwa Ameshirikiana na KABERERE. Kazi Hiyo mpya ya Mkali huyo wa Gospel ilifanywa na Producer YOLEX, Zidi Kusikiliza #MamboMseto Ya Radio Citizen na MZAZI WILLY M TUVA na DJ FLASH na bila Shaka Utapata Kusikiliza hii kazi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here