Home Lifestyle Dogo Janja Awapa Ushauri Wanafunzi Shuleni Kuhusu Umuhimu Wa Kusoma Na Kufuata...

Dogo Janja Awapa Ushauri Wanafunzi Shuleni Kuhusu Umuhimu Wa Kusoma Na Kufuata Talanta.

Dogo Janja ni miongoni mwa  wasanii wenye historia ya kuanza muziki wakiwa na umri mdogo ukilinganisha na wasanii wengine wakubwa nchini Tanzania.Hiyo jana star huyu wa kibao cha ”My Life” alitoa maibi yake kuhusu umuhimu wa kusoma na pia umuhimu wa kufuta talanta Maishani.Dogo alidai kwamba Masomo si kitu cha kujilazimisha kwani kama unayo talanta katika sehemu flani ni muhimu sana kuitumia na kuifuta maishani.

janja

Dogo pia alidai kwamba ni muhimu sana mtu kuangalia future yake katika maisha kwa hiyo kama masomo ndiyo future ni vizuri kuyafuata vilevile kama una talanta.

“Siku zote linapokuja suala la elimu, sio kitu cha kuiga, unatakiwa ufuate kichwa chako kinaenda vipi. Sometimes watu wanaweza wakawa wanaku-force ‘soma, soma’ lakini wewe mwenyewe unakuwa unaangalia, future yangu mimi haipo kwenye kusoma. Au hata nikipelekwa kusoma siwezi nikafanya vizuri”. – Dogo Janja

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here