Home Lifestyle DOGO JANJA : ‘My life’ Utanitoa Upya Kimuziki

DOGO JANJA : ‘My life’ Utanitoa Upya Kimuziki

Msanii wa Bongo Flava AbdulAzizi Abubakari ‘Dogo Janja’, amesema aina ya muziki aliyofanya kwenye wimbo wake mpya wa ‘My life’ umelenga kumrudisha kwenye muziki baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu.

dogo janjaaa

Dogo Janja alipata umaarufu kupitia wimbo wa ‘Anajua’ aliomshirikisha Madee. “Kitu kilichonifanya nibadili uimbaji ni mtayarishaji Cal kutoka Norway, alinitumia mdundo nilipokwenda studio nikapata melody pamoja na mistari, baada ya hapo nikaupeleka kwa uongozi ndiyo ikawa hivyo ilivyokuwa,” alisema Dogo Janja.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here