EXCLUSIVE!!!!! AY Kuachia Collabo Yake Na NYASHINSKY Wiki Hii

    Msanii mkali wa Bongo Flava Ambwene Allen Yessayah ukipenda AY,  amefunguka EXCLUSIVE kupitia kipindi cha MAMBO MSETO ya Radio Citizen na MZAZI WILLY M. TUVA kuwa wiki hii atakuwa anaachia kazi yake mpya ambayo ameshirikiana na NYASHINSKY,ambaye sasa hivi anafanya vizuri na wimbo wake ‘Mungu Pekee’. Hii ni habari nzuri kwa mashabiki wa AY ambao wamekuwa wakijuiliza maswali mengi kuhusu ukimya wa AY haswa baada ya kufanya vizuri mwaka uliyopita na nyimbo yake ZIGO Remix.

    LEAVE A REPLY

    Please enter your comment!
    Please enter your name here