Home Lifestyle Grandpa Records Wamjibu King Kaka Baada Ya Msanii Huyo Kuwatupia Vijembe Kiaina

Grandpa Records Wamjibu King Kaka Baada Ya Msanii Huyo Kuwatupia Vijembe Kiaina

Grandpa Records Wamjibu King Kaka Baada Ya Msanii Huyo Kuwatupia Vijembe Kiaina

Mapema jana Msanii King Kaka aliandika Kupitia Mtandao wake wa Instagram

“Sio lazima niwe kwa fimbo ndio niweze Kuwachapa/ My Grandpa alinibless na mistari kwa DNA”.

Hii Mistari ipo katika mojawapo ya kazi ya King Kaka ila hajawai kuandika kwa mtandao, na kama tunavyofahamu sote King Kaka ni mkali ikija Kwenye maswala ya kucheza na maneno. So tulimtafuta REFIGAH ambaye ni CEO wa GRANDPA GOVERNMENT kuongelea hili swala, na jibu lake hili hapa

“My comment is Rabbit is a very talented,smart rapper na anajua kucheza na maneno,and showbiz is all about driving attention towards yourself or your product so in terms of record label since the days of ogopa n Calif there has never been a revolution solid brand when it comes record label Like GrandPa Records and in terms of continuity collaboration there has never been a platform like fimbo projects, so as a wise rapper amecheza na maneno n gt everyone ┬átalking. Apart from Grandpa, which other name is there to be mentioned? None! All in all i like those lines from his song that was very creative. Big up king kaka

alimazia REFIGAH.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here