Home Lifestyle “Hao Ni Watu Wanatafuta Kiki”- OTILE BROWN Akanusha Maadai Ya Kutowalipa Models...

“Hao Ni Watu Wanatafuta Kiki”- OTILE BROWN Akanusha Maadai Ya Kutowalipa Models Walioshiriki Katika Video Yake

Msanii mkali wa humu nchini OTILE BROWN ambaye sasa hivi anafanya vizuri na kazi yake mpya ‘Yule Mbaya’, amejitokeza na kukanusha habari zilizongaa Kwenye mitandao ya kijamii eti kwamba alikosa kumlipa model aliyeshiriki kwenye video yake, akizungumza hivi majuzi ndani ya #UdakuSasa ya NTV, Na JANE NGOIRI pamoja na SAMEER BRY, muimbaji huyo aliweka wazi kwamba wanaomzushia alikata kuwalipa wanatafuta ‘KIKI’, hebu sikiliza jibu lake:-

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here