Home Lifestyle Harmonize Asema Hakuwahi Kusikia Jackline Wolper Alikuwa Mpenzi Wa Diamond Platnumz

Harmonize Asema Hakuwahi Kusikia Jackline Wolper Alikuwa Mpenzi Wa Diamond Platnumz

Msanii wa WCB, Harmonize alikuwa kwenye #FridayNiteLive na @sammisago na kufunguka kuhusu mpenzi wake Jackline Wolper kuwa Ex wa Bosi wake ambaye ni Diamond Platnumz.
Harmonize alisema “ Sijawahi kusikia na wala sijui kuwa Diamond alikuwa na Jackline Wolper, mimi navyojua ni kuwa walikuwa washkaji tu ” Ingawa Diamond amekana kuwahi kuwa na mahusiano na Jackline ila paliwahi kuwa na tetesi kuwa Wolper na Diamond walikuwa wapenzi na kwamba wimbo wa Mawazo aliimbiwa Wolper.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here