Home Lifestyle HARMONIZE Azungumzia Uhusiano Wake Na WOLPER,Je Wanapanga Ndoa??

HARMONIZE Azungumzia Uhusiano Wake Na WOLPER,Je Wanapanga Ndoa??

Mwanamuziki wa Bongo Flava kutoka lable ya WCB, Harmonize anatoka kimapenzi na Diva wa filamu nchini Tanzania ,Jackline Wolper. Akizungumza na MZAZI WILLY M. TUVA nchini Marekani baada ya Kushinda Tuzo Ya Afrimma Kama Best New Comer, Harmonize amesema kuwa Wolper ni mpenzi wake na anampenda Sana, kuhusu swala la kufunga ndoa HARMONIZE alikuwa na haya ya kusema “Unajua ndoa ni kitu ambacho munakaa munapanga kabisa, na ni baraka kutoka kwa mwenyezi Mungu but for now hatujaplan”

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here