Home Lifestyle Finally LULU Amjibu BAHATI

Finally LULU Amjibu BAHATI

Wiki Kama Mbili Zilizopita Story Ya BAHATI Kufunguka Kuwa Angependa Kutoka Kimapenzi na Muigizaji Maarufu Nchini Tanzania LULU Ukipenda ELIZABETH MICHAEL Ziligonga Vichwa Vya Habari. Kupitia Mtandao wa Instagram Baadhi ya Mashabiki wamekuwa Wakimuuliza LULU issue ya BAHATI na Hapo Juzi Muigizaji huyo aliandika haya ‘Awwwwwwww ?????‘  baada ya kuulizwa na Shabiki mmoja kuhusu kutoka kimapenzi na staa wa muziki kutoka Kenya BAHATI.

Lulululu1

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here