Home Lifestyle Hatimaye Msanii wa Bongo Matonya Avunja Ukimya Wake Baada ya Kimya Kirefu!

Hatimaye Msanii wa Bongo Matonya Avunja Ukimya Wake Baada ya Kimya Kirefu!

Ni msanii ambaye alitamba kwa vibao kama Anita na Vaileti miaka iliyopita.Wengi wamekuwa wakijiuliza maswali star huyu alienda wapi ukifahama kwamba ni msanii ambaye amejaliwa sana na kipaji cha uimbaji.Hata hivyo wengi hawafahamu kwamba mwaka uliopita Matonya alitoa kibao na Rich Mavoko kwa jina Mule Mule ambacho hakikutamba sana.

????????????????????????????????????

Mbali na hayo,  Matonya alisema yeye kama binadamu wa kawaida pia anapenda sana kuongeza marafiki, kwani ndio wanaomsaidia katika mambo yake, na pia anaamini mafans wake bado wanasupport kazi zake . “Napenda sana kuongeza marafiki kwa njia njema, kwa hiyo naamini kabisa wote niko nao na wanaendelea kumsapoti matonya mpaka leo”, alisema Matonya.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here