Home Lifestyle “Hatuwezi Kukaa Mahali Tunajenga Label Ihali Maisha Yetu Yanabaki Vile Vile”- SHIDA...

“Hatuwezi Kukaa Mahali Tunajenga Label Ihali Maisha Yetu Yanabaki Vile Vile”- SHIDA MBILI ( Kenrazy & Visita)

Wasanii Wawili wakali wa humu nchini VISITA na KENRAZY wamefunguka kuhusu chanzo cha wao kutoka Grandpa Government, kupitia mahojiano na kipindi cha JOHARI NTV kinachoongozwa na RASHID ABDALLA, VISITA ameweka wazi kuwa hayuko Grandpa Records, na hakuwahi kuwa Vice President Katika label hiyo “Sikuwahi Sign mahali kuhusu kuwa Vice President Grandpa, nimeamua kutoka kwasababu nimeona tunajenga label na Maisha yetu yanabaki pale pale”. Kwa upande wa Kenrazy amesema kuwa kwa sasa wao ni mabossi kivyao na wanafanya kazi chini ya Hela Records, studio ambayo hivi karibuni itaanza kufanya Kazi na wasanii wote, chipukizi na magwiji.Wamesema wanaachia kazi yao mpya waliomshirikisha rapa fulani hatari sana humu nchini. Kutoka kwa Visita kumefikisha idadi ya wasanii 4 kutoka Grandpa Records chini ya Reffigah. Alianza Kidis akafuatia DNA alafu Kenrazy na sasa Visita. Msetoea itazama zaidi kujua kulikoni.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here