Tuzo za Afrimma zilifanyika weekendi iliyopita nchini Marekani, wasanii magwiji kutoka barani Afrika walihudhuria, lakini msanii mmoja ambaye anatajika sana sasa hivi,Abdul Naseeb ukipenda Diamond Platnumz, mwaka huu hakuweza kuhudhuria tuzo hizo. Kwa mujibu wa HARMONIZE ambaye ni msanii wake na pia mshkaji wake wa Karibu ,Diamond hakuweza kuhudhuria Tuzo hizo sababu ali missĀ Ndege. “DiamondĀ alimiss ndege wakati tulikuwa tunatoka, ilikuwa tuje wote lakini alimiss Ndege na si yeye pekee yake pia dancers kina Moses Iyobo , sababu za kimsingi zimewafanya wasiweze kufika lakini naamini wote walikuwa wanatamani kufika maana hizi tuzo si ndogo, ni Tuzo kubwa Sana za Afrimaa.