Home Lifestyle Hii Ndio Sababu Ya JAGUAR Kutoachia Video Yake Na MAFIKIZOLO Hii Leo

Hii Ndio Sababu Ya JAGUAR Kutoachia Video Yake Na MAFIKIZOLO Hii Leo

Awali Msanii Wa Humu Nchini JAGUAR Alikuwa Amepanga Kuachia Video Ya Kazi Yake Mpya Na MAFIKIZOLO Hii Leo Tarehe 25, Hata Hivyo Msanii Huyo Amebadili Mpango Huo na Huenda Akaachia Video Hiyo Baadaye Wiki Hii ama Ijaayo. Akizungumza na kipindi cha QFM na RASHID ABDALLA na MUNENE NYAGA, Jaguar Alifunguka Kuwa MAFIKIZOLO Walimwomba asitoe Video hiyo kwa sasa Maana tayari wana kazi nyingine mpya na DIAMOND. Jaguar ambaye amechana mistari kadhaa kwa Kingereza katika wimbo huo wake mpya, alisema Aliamua kuimba kizungu maana Msanii PREZZO alisema Hajui Kingereza. Jaguar Alimalizia Kwa Kusema Kuwa Wale Ambaye hawajamuona akizikwenda wasubiri video waone alivyocheza.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here