Home Lifestyle Hii Ndio Sababu Ya NAY WA MITEGO Kutomdiss DIAMOND PLATNUMZ

Hii Ndio Sababu Ya NAY WA MITEGO Kutomdiss DIAMOND PLATNUMZ

Msanii Wa Bongo Flava NAY WA MITEGO ambaye sasa hivi anasumbua na Nyimbo Yake ‘Shika Adabu Yako’ Amefunguka Kuwa Sababu Ya Kutomdiss Rafiki Yake DIAMOND PLATNUMZ Katika Wimbo Wake Mpya Ni Kuwa Hakutaka Kufanya Kitu Ambacho kila mtu ana expect.

Nay Wa Mitego

Akizungumza na MILLARD AYO , NAY alikuwa na Haya ya Kusema “Nilijua watu wataongelea hili na hata ukiangalia kwenye comment utaona watu wanauliza mbona sija muimba rafiki yangu Diamond Platinumz na ana skendo nyingi, sitaki kufanya kitu ambacho kila mtu anacho kichwani kwake”

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here