Home Lifestyle Hiki Ndicho Kitu Ambacho AKOTHEE Ashawai Kuambiwa Na Mtoto Wake Kikamvuja Moyo

Hiki Ndicho Kitu Ambacho AKOTHEE Ashawai Kuambiwa Na Mtoto Wake Kikamvuja Moyo

Msanii wa kike wa humu nchini Esther Akoth ukipenda AKOTHEE hivi majuzi kupitia kipindi cha #MamboMseto Ya Radio Citizen na @mzaziwillytuva alifunguka mengi sana, mojawapo ilikuwa kitu ambacho kimewai kumvuja Moyo baada ya Mtoto wake kumuambia. “kitu ambacho mtoto wangu ashawai kuniambia kikanivuja moyo ni pale mtoto wangu aliponiambia Mum ambia watu wa gazeti wawache kukutukana, it hurts.. hiyo ilinivuja moyo….because sijui jinsi naweza kumueleza watu wa gazeti, blogs ama hizi tabloids wanatafuta kiki” alisema AKOTHEE ambaye sasa hivi anafanya vizuri na kazi yake mpya #YukoMoyoni.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here