Home Lifestyle Hiki Ndiyo Kitu Ambacho JUX hakipendi Kwenye Mwili Wake

Hiki Ndiyo Kitu Ambacho JUX hakipendi Kwenye Mwili Wake

Msanii Juma Jux amesema kuwa katika vitu ambavyo havipendi kwenye mwili wake basi ni miguu yake , anasema kutokana na hilo inafikia hatua akivaa kaptula anaamua kuvaa na soksi kwa sababu hapendi kuiona miguu yake hiyo .
Jux anasema mara nyingi hapendi kuvaa kaptula kwani anapozivaa inakuwa rahisi kwake kuiona miguu yake hiyo ambayo yeye haipendi , ila anadai siku akijisikia kuvaa kaptula lazima avae soksi tena ndefu ili tu asione miguu hiyo

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here