Home Lifestyle “Huwa Nakuwa Makini Na Nifanyacho Sababu Kuna Watu Wanajifunza Kwetu ” –...

“Huwa Nakuwa Makini Na Nifanyacho Sababu Kuna Watu Wanajifunza Kwetu ” – MATONYA

Matonya amesema kama msanii anajua ana ushawishi mkubwa kwa jamii kwahiyo hujitahidi kufanya mambo mema ambayo hayataharibu jamii inayomzunguka na wale wanaojifunza kwake. Matonya amesema hata sehemu anapoishi anahakikisha anaishi vizuri na watu ili waweze kumwambia pale anapokosea na kumpongeza pale anapofanya poa. Matonya Aliongezea Kuwa anajua wasanii wanapendwa sana na ushawishi walionao unaweza kuibadilisha jamii, mfano, kuna saa aliyoivaa kwenye video ya #Vaileti ambayo baadae zile Saa zilianza kuitwa vaileti mtaani.
Msanii mwingine wa Dance Tanzania #Alichoki aliwahi kuvaa viatu ambavyo tangu hapo vilipachikwa jina lake na vikawa maarufu sana.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here