Mwanadada Wema Sepetu amesema kuwa ipo siku nayeye ataitwa mama. Hiyo imetokana na pale msanii kutoka kundi la WCB Harmonize kupost video clip ikimuonyesha akiongea maneno yaliyomuumiza mwanadada huyo.
Harmonize na wenzake walipost clip hiyo na kusema kuwa:“Uzuri wa nyumba usikufanye utembee peku, sistaduu usitoe mimba kesho ulie ka… Sepetu..”
Kauli hiyo iliyoonekana kumuumiza sana Wema Sepetu na kuamua kupost Picha akiwa na mama yake Instagram na kusema:”Ipo siku nitaitwa mama”
By:Mdundo