Home Lifestyle Je HARMONIZE Anaweza Fanya Kazi Na ALIKIBA ?? Jibu Lake Hii Hapa

Je HARMONIZE Anaweza Fanya Kazi Na ALIKIBA ?? Jibu Lake Hii Hapa

Msanii wa Bongo Flava kutokea label ya WCB, HARMONIZE ambaye sasa hivi anafanya vizuri na Kazi yake ‘Matatizo’ amefunguka kuwa yeye anaweza kufanya Kazi na msanii yeyote maana muziki ni biashara. Akizungumza na MZAZI WILLY M. TUVA akiwa Marekani, Harmonize ama ukipenda RAJ alifunguka baada ya kuulizwa kama anaweza fanya kazi na ALIKIBA “Unajua mwisho wa siku muziki ni biashara maana biashara au collabo ni kufanya kazi na mwanamuziki ambaye ana fanbase yake, ukimzungumzia Ali,ALI ni msanii mzuri na ni msanii wa Tanzania anaimba kiswahili na mimi naimba kiswahili pia, na sio ALI tu ,msanii yeyote Yule, lengo ni biashara Hamna kitu kingine, so ikifikia kufanya collabo na msanii yeyote Yule ikiwa ina tija tunafanya kazi naye”.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here