Home Lifestyle Je HARMONIZE Angependa Kufanya Kazi Na Msanii Mgani Wa Kenya?? Jibu Lake...

Je HARMONIZE Angependa Kufanya Kazi Na Msanii Mgani Wa Kenya?? Jibu Lake Hili Hapa

Mkali Wa Hit song Ya ‘Aiyola’ na ‘Bado’ RAJAB ABDUL Ukipenda HARMONIZE Amefunguka Kupitia Mahojiano na msetoea.com Kuwa Angependa Kufanya Kazi Na Msanii Yeyote Ambaye Anafanya Vizuri Wa Humu Nchini, “Wasanii wa Kenya ni Wengi Wanaofanya Vizuri Huku Tanzania na Kenya pia,

Harmoniz

mimi natamani kufanya collabo na msanii yeyote ambaye anayefanya vizuri, so nikisema labda natamani kufanya na mtu fulani ama fulani nitakuwa naeka makundi alafu kuna Kaka zangu wamenitangulia na nina heshimu sana muziki wa Kenya pamoja na Wasanii wa Kenya,Nawaombea waendelee Kufanya Vizuri, nikisema natamani kufanya collabo na mtu fulani kiukweli nitakuwa nakosea maana nina heshimu wasanii wote wa Kenya” Harmonize Alimalizia kwa Kuomba Wa Kenya Waendelee kumsupport na Kurequest Nyimbo Zake Kwenye Vipindi Tofauti.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here