Home Lifestyle Je Wajua Vile DIAMOND na ZARI Walivyopatana?

Je Wajua Vile DIAMOND na ZARI Walivyopatana?

Watu hukutana sehemu mbalimbali wengine hukutana kwenye mitandao, wengine mabatani (Kwenye Starehe), madukani, matatu na kadhalika na mwishowe huenda wakawa kitu kimoja. Msanii Wa Bongo Flava DIAMOND PLATNUMZ na mpenzi wake ZARI ni mojawapo ya Celebrity Couple wanaozungumzwa sana Afrika Mashariki lakini je wajua vile wawili hao walivyopatana?? Hivi majuzi katika mahojiano ya kipekee Diamond alifunguka na kusema walikutana na Zari kwenye Ndege wakati anatoka kushoot video ya Coco Baby aliyoshirikishwa na WAJE.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here