Home Lifestyle Kaa Tayari Kwa Collabo Ya DULLY SYKES Na HARMONIZE

Kaa Tayari Kwa Collabo Ya DULLY SYKES Na HARMONIZE

Mwezi Uliyopita Tarehe 28 Mechi Kwenye Instagram account ya @harmonize_tz alipost video ikimuonyesha yeye na Msanii Mkongwe wa Bongo Flava DULLY SYKES wakiwa studio ya #WCB akisema DULLY aliamua kuwatembelea.
Hatimaye DULLY kupitia #planetbongo kafunguka kuwa kuna ngoma inakuja ambayo ni collabo yake na HARMONIZE.
DULLY Aliongezea Kuwa ameamua kukubali kufanya collabo na Harmonize kwasababu yeye na Diamond (Boss wa Harmonize ) wamekuwa washkaji muda mrefu na wamesaidiana mengi kwahiyo ameona ni wakati mzuri kumsaidia kumpush zaidi msanii wake huyo na ndiyo sababu ya kufanya naye collabo. Hata hivyo hakuweka wazi itatoka lini rasmi lakini amesema ndiyo ngoma yake inayofuata.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here