King Kaka Ashtakiwa Na Kufikishwa Mahakamani

  Msanii Mkali wa Humu Nchini KING KAKA ambaye sasa Hivi Anafanya Vizuri Na Kazi Yake Mpya ‘Cheza Chini’ Hivi Majuzi Amefikishwa Kizimbani.

  Rabbit K

  Haijabanika Nini Haswa Msanii Huyo Alikuwa Ameshtakiwa ila Kupata Details Zaidi Usikose Kutazama Kipindi Cha Vioja Mahakamani Ambacho Kinapeperushwa na KBC Channel 1 Kila Jumamosi. (Vioja Mahakamani is a Kenyan comedy series and one of the country’s most popular television shows. The show has been broadcast for 25 years. The series can be viewed on Kenya Broadcasting Corporation KBC)

  LEAVE A REPLY

  Please enter your comment!
  Please enter your name here