Home Lifestyle King Kaka Kujiunga Na Tasnia Ya Utangazaji ??

King Kaka Kujiunga Na Tasnia Ya Utangazaji ??

Mwaka huu umeanza vizuri kwa msanii wa humu nchini KING KAKA, baada ya kuchanguliwa kuwa mmoja wa Judges katika TV show ya #BYOB, Huenda mkali huyo wa kuchana amelamba deali nyingine. Kupitia mtandao wake wa instagram, KAKA alitupia picha akiwa na muigizaji KATE huku wakiwa katika pozi la kutangaza habari hivi.

MSETO ilimtafuta KING KAKA ili kuweka wazi hiyo issue na alikuwa na haya ya kusema “Hahahaha nyinyi MSETO hamchelewangi nway i won’t like to reveal much as per now since the project is in the pipeline, but trust me soon i will reveal more details” alijibu KING KAKA ambaye sasa hivi anafanya vizuri na kazi yake mpya ‘Milele’.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here