Home Lifestyle Kunani Kati Ya TIMMY Na VIVIAN ???

Kunani Kati Ya TIMMY Na VIVIAN ???

Siku za hivi karibuni Msanii Mkali Wa Humu Nchini TIMMY amekuwa akionekana kwa karibu Sana na msanii mwenzie wa kike VIVIAN. Wawili Hao wamekuwa wakionekana kwa pamoja kwenye sehemu za kula bata na hata show mmoja aliyofanya Timmy hivi karibuni inadaiwa VIVIAN alihudhuria kumsupport ‘Rafiki’ yake Timmy. Hata hivyo wadau wa muziki wanadai huenda ikawa ni kiki ila Tutamtafuta Timmy ili aweze kuweka hili swala wazi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here