Home Lifestyle Kush Tracey Achia Kazi Mpya ‘Playboy’

Kush Tracey Achia Kazi Mpya ‘Playboy’

Msanii Wa Kike Wa Humu Nchini KUSH TRACEY ameachia kazi yake mpya Inayokwenda Kwa Jina #Playboy, Wimbo Huo Ambao Aliperform Kwa Mara Ya Kwanza Siku Ya Jumamosi ndani ya Masinde Muliro University ( Kakamega ) Kwenye Tamasha La #MsetoCampusTour umechangamka sana.

Kush Tracy

Zidi Kutengea #MamboMseto Ya Radio Citizen na bila Shaka Utapata Kusikiliza hii kazi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here