Home Lifestyle Linah – Ole Themba Asema Anatamani Wizkid Angekuwa Mpenzi Wake.

Linah – Ole Themba Asema Anatamani Wizkid Angekuwa Mpenzi Wake.

katika mahojiano ya moja kwa moja na kipindi cha eNEWS kinachopeperushwa na  (EATV) Linah Sanga alidai kwamba kwa muda mrefu amekuwa akimtamani sana star huyo wa Nigeria na kusema kwamba hatakata ya tamaa ya kumpata Wizkid.

Wizkid

“Unajua nilikuwa namu admire Wizkid toka muda mrefu, na ndiyo mwanaume ambaye hata ukiniuliza ni msanii gani wa kiume katika bara la Afrika ambaye ungependa kuwa naye au ambaye nampenda nitakwambia ni Wizkid, siwezi kukataa ila ndiyo hivyo tena maana mwenyewe natamani ingekuwa kweli” alisema Linah Sanga.

Kwenye mahojiano hayo Linah aliongeza kuwa kwa sasa hayupo tayari kuingia katika mambo ya mapenzi kwani mapenzi na mziki hayaendani Pamoja.Linah apia alisema kwamba  yupo kwenye harakati za  kufanya kazi na Wizkid .

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here