Home Lifestyle “Lodwar ilinishangaza Sana Yani Sana ” Asema DIAMOND PLATNUMZ

“Lodwar ilinishangaza Sana Yani Sana ” Asema DIAMOND PLATNUMZ

Takriban Wiki Kama Mbili Zilizopita, Msanii Wa Bongo Flava DIAMOND PLATNUMZ Alipiga Bonge La Show Ndani Ya MARBLE CLUB & VIP LOUNGE , Show hiyo ambayo ilidhaminiwa na MARBLE CLUB & VIP LOUNGE Pamoja na MSETO iliweka Historia Humu Nchini. Tulimuuliza DIAMOND Kile Kitu ambacho Kilimu ‘Amaze’ Na LODWAR, Jibu lake Hii Hapa ” Mapokezi Airport, Pia Club tuliyoenda kule sikutengemea. Kabla Sijakuja niliambiwa ni jagwaa kuna joto na Mambo mengine. Nilijifunza Mambo mengi sana”  Alijibu Mkali Huyo Ambaye Sasa Hivi Anafanya Vizuri Na Wimbo Wake Mpya #MakeMeSing Akiwa Ameshirikiana na AKA.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here