Home Lifestyle “Lulu Ni Rafiki Tu” – BAHATI Afunguka Uhusiano Wake Na LULU

“Lulu Ni Rafiki Tu” – BAHATI Afunguka Uhusiano Wake Na LULU

Msanii Mkali wa Humu Nchini BAHATI ambaye hivi majuzi ameachia kazi yake mpya¬† #InLove, ameweka wazi kuwa yeye na muigizaji maarufu wa nchini Tanzania Elizabeth Michael ukipenda LULU ni marafiki tu, Akizungumza Kupitia Kipindi Cha #MamboMseto ya Radio Citizen na @mzaziwillytuva ,Bahati alisema LULU na yeye ni Marafiki tu.”Lulu ni Rafiki yangu Sana,mpoa sana, Tunachat Sana, tunashare ideas za kugrow industry” Alipoulizwa na MZAZI Kama ana mpenzi BAHATI alijibu “Siko Ready Kudate Sahizi Kwasababu Bado Na Kazana Na Natia Bidii But You Never Know”.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here