Home Lifestyle Mapenzi Si Rahisi! Wema Sepetu Amvunja Moyo Mpenziye Idris Sultan Vibaya Sana.

Mapenzi Si Rahisi! Wema Sepetu Amvunja Moyo Mpenziye Idris Sultan Vibaya Sana.

Ni wikendi iliyoshuhudia baadhi ya watu mashuhuri nchini wakifanya harusi , lakini nchini Tanzania Mshindi wa Zamani wa Miss Tanzania Wema Sepetu aliamua kumpa maumivu Idris Sultan.Mshindi huyu wa BBA mwaka wa elfu mbili na kumi na nne alipigwa na butwaa baada ya kushuhudia Video ya Wema akimbusu mwanaume mwingine.

Baada ya Kitendo hicho cha kuatua moyo cha Wema, Idris aliitupia picha katika ukurasa wake wa Instagram akionyesha kufehedheshwa kwake kuwa katika mapenzi.

I have learnt to consider all my failures as lessons learnt the hard way. As i focus on work kesho jumapili i will land in Nairobi at 7:20 asubuhi ???? #EastAfricaComedyTuesday ???..

Kwingineko Idris ni mmoja wa waigizaji ambao watatumbuiza katika tamasha la #EastAfricaComedyTuesday ambalo litafanyika Jumanne hii Nairobi katika Kenya National Theatre.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here