Home Lifestyle Mimi, Mama, Zari, Tiffah Wote Ni Brands – Diamond

Mimi, Mama, Zari, Tiffah Wote Ni Brands – Diamond

Yuko sahihi kwa sababu si yeye tu anayenufaika na ubalozi wa mabilioni ya shilingi wa Vodacom Tanzania. Mchumba wake Zari, Mtoto wao Tiffah na mama yake Sandra, wote wamepiga mpunga kutokana na ubalozi unaoshuhudia familia nzima ikishiriki kwenye tangazo la promotion mpya ya mtandao huo. Ongea Deilee
Ni mtu mmoja tu muhimu aliyekosekana – Abdul, baba yeke Diamond ambaye kwa wengi anaonekana kuwa ‘mcharuko’ kiaina kiasi cha mwanae kutopenda kujihisisha naye. Bila shaka itamchukua miaka mingi Diamond kumtengeneza naye kuwa brand.
‘The most powerful and impactful family in Africa!!! … bibi brand, baba brand, mama brand, motto ndio usiseme…. Thanks for the big love our people… and get ready for another big thing’ ameandika diamond kwenye instagram.
Bongo5

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here