“Mimi Na KUSH TRACEY We Are Still Tight” – TIMMY

  Msanii Mkali wa Humu Nchini TIMMY T DAT amefunguka kuwa yeye na KUSH TRACEY ambaye pia ni Msanii bado wako pamoja.

  Timmy Tdat

  Akizumgumza na msetoea.comMkali huyo wa hitsong ya #Usinikazie amesema yeye na Kush bado ni wapenzi na wako tight sana na tetesi zinazo enea Kwenye mitandao kuwa wameachana si kweli. Kuhusu swala la kupigwa katika club ya 1824 Timmy alikuwa na haya ya kusema “It was just a small confrontation, the media has exaggerated the whole issue”. Timmy na Kush sasa hivi wanafanya vizuri na kazi yao mpya #Ndulu.

  LEAVE A REPLY

  Please enter your comment!
  Please enter your name here