Home Lifestyle “Mkataba wangu na King Kaka haukuwa na limitation”- Rich Mavoko

“Mkataba wangu na King Kaka haukuwa na limitation”- Rich Mavoko

Msanii mpya wa lebo ya Wasafi, Rich Mavoko amefafanua mkataba wake wa mwanzo aliosaini na menejimenti ya King Kaka. Rich Mavoko kwa sasa amefanikiwa kusaini mkataba mpya wa miaka 10 na lebo ya Wasafi inayomilikiwa na Diamond. Akiongea kwenye kipindi cha XXL, kinachoruka kupitia Clouds FM, Rich Mavoko alisema kuwa makubaliano yake na King Kaka hayakuwa na limitation yeyote.
“Nafikiria yalikuwa ni makubaliano tu hayakuwa na limitation yeyote, muda wowote kama mimi sijaridhika ninaweza nikatengua makubaliano hayo. Kwahiyo tukapatana nikatengua makubaliano hayo before hata kuingia wasafi,” aliongeza.

Bongo5

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here