Home Lifestyle “Mnajaribu kuniachanisha na Zari lakini hamtoweza” – Diamond

“Mnajaribu kuniachanisha na Zari lakini hamtoweza” – Diamond

Msanii Diamond anataka kuwapa ujumbe ‘haters’ wa uhusiano wake na mama wa mtoto wake, Tiffah, Zari the Bosslady, kuwa hata wafanye vipi, hawataweza kuwakosanisha. Hilo linaweza kuwa ni jibu la kwanza tangu zivume tetesi kuwa hitmaker huyo alimsaliti mpenzi wake na mrembo anayeonekana kwenye video ya msanii wake, Raymond, Kwetu.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here