Msanii Kupandisha Bei Yake Ni Sawa Lakini………

  Siku Za Hivi Karibuni tumeona baadhi ya wasanii wakipandisha bei yao, jambo ambalo ni sawa kabisa maana ni biashara yao na wao wenyewe ndio wanaelewa vizuri ni jinsi gani walivyoekeza kwenye kazi zao, lakini tukija upande wa pili msanii kupandisha bei yet mambo yake ni vile vile na nyimbo zake ni kawaida honestly haifai.

  sta Stage..

  Sasa Hivi muziki wa Afrika mashariki unakuwa kwa kasi Sana na wasanii kama Eddy Kenzo, Sauti Sol ,Alikiba, Jaguar,Chameleone, Diamond na wengine wengi ni miongoni mwa wasanii wa Afrika Mashariki ambao wana uwezo wa kujaza Stadium nje ya nchi walizotokea, Hii ni Kwasababu kila uchao ukitazama shows zao zinakuwa tofaouti sana na za Awali (They’re Worth Every Penny They Ask For). Msanii yeyote anaweza kuamka leo aseme nataka kulipwa dola elfu hamsini za Kimarekani,Lakini Je what are you bringing on the table? Performance yako ni ya muda gani? Target audience? Una Hits ngapi? Can your brand attract sponsors? Hizi ni baadhi ya maswali kila promoter hujiuliza “Most Club owners nowadays prefer guest DJs because they are affordable and of course they will entertain more hours compared to artistes” narrated one of the biggest promoters in Kenya during a whatsapp conversation with us. Kama Msanii ukipandisha bei ya Show Yako Just Make Sure it’s Worth, isije ikawa waitisha hela kibao na mwisho wa siku mashabiki na promoter hawatafurahia show yako.

  LEAVE A REPLY

  Please enter your comment!
  Please enter your name here