Home Lifestyle Msanii ROMA MKATOLIKI Afunga Ndoa, Tazama Picha Za Harusi Hapa

Msanii ROMA MKATOLIKI Afunga Ndoa, Tazama Picha Za Harusi Hapa

Msanii Maarufu wa Hip Hop Nchini Tanzania ROMA MKATOLIKI, Hivi Majuzi Aliamua Kufunga Ndoa na Mpenzi wake wa Longtime IVAN ambaye Pamoja Wana Mtoto Mmoja. Ndoa imefungwa nyumbani kwao Tanga na ni baada ya send-off kufanyika Dar es salaam February 2016. Hizi Hapa ni Baadhi Ya Picha za Harusi.

roma2 roma1 roma. roma

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here