Home Lifestyle Msanii Wa Bongo Flava Asema Kitambi Chake Ni Changamoto, Soma Zaidi Hapa

Msanii Wa Bongo Flava Asema Kitambi Chake Ni Changamoto, Soma Zaidi Hapa

Mkongwe wa longtime kwenye Bongo flava  Mike Tee aka MNYALU amesema licha ya kubadilika sana siku hizi kati Muziki anaofanya lakini mwili wake unampa changamoto hasa kwenye kucheza awapo jukwaani kama ilivyokuwa zamani. Mike amesema moja ya vitu anavyopambana navyo kwasasa ni kitambi chake ikiwepo kufanya mazoezi ili kuepuka kuishiwa pumzi awapo jukwaani. Ameongeza kuwa Muziki wa bongo umebadilika sana kiasi kwamba nyimbo nyingi zinazohit ni zile za kuchezeka (zinazofaa kudance) sasa ukiwa una kitambi kidogo inakuwa tatizo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here