{MUST READ} A Look At The Top 7 Beefs In East Africa Music Industry

  {MUST READ} A Look At The Top 7 Beefs In East Africa Music Industry
  7- NYASHISKY na BAMBOO
  Kama unaelewa muziki wa humu nchini vizuri basi utakuwa unawakubali hawa majamaa, wengi najua wangependa kuona collabo ya wawili hawa lakini ndio hivyo hawaivii kapu moja yani ni mbivu na mbichi, Msanii BAMBOO ambaye sasa hivi ameokoka na NYASHISKY ambaye sasa hivi anasumbua airwaves na nyimbo yake MUNGU PEKEE ni magwiji katika muziki wa Kenya, walianza enzi zile Bamboo akiwa K SOUTH huku NYASH akiwa KLEPTO.
  6- BOBI WINE & BEBE COOL
  Ugandan Musicians, Bebe Cool and Bobi Wine have been enemies for the longest time. According to Bobi, the two don’t agree on basic things and ideology and for that reason he will never be in the same circles with the Gagamel president. Bebe Cool on the other hand believes that Bobi Wine is too local to be in his circles and that he cannot be seen with such an artiste.
  5- WILLY PAUL & BAHATI
  Hehe BAHATI and WILLY PAUL, Very talented lads i must say, in public they play it cool most recently they performed together during a church service this previous Sunday at JCC. Last year’s edition of Groove awards the two were dropped from  the nominations rota, it’s not clear why but your guess is as good as mine.
  4- KHALIGRAPH JONES & OCTOPIZZO
  Beef in the hip hop industry is a sure way of reaping from maximum lyrical creativity. This emanates from the need to out do your lyrical nemesis so as to retain a certain level of credibility and respect among not only other industry stakeholders, but also those who matter the most, the fans. Kibera’s finest Octopizzo and Kayole’s illest Khaligraph are undoubtedly among the dopest MCs not only in Kenya but East Africa as well, the two have denied severally that there’s bad blood between them, but music lovers think otherwise.
  3- PREZZO & JAGUAR
  The beef between Charles Njagua a.k.a Jaguar and Jackson Makini better known as CMB Prezzo is one of the longest in the industry, it started way back and every now and then something between the two always comes up. Last year KTN’s Betty Kyalo asked Prezzo during an interview about his rumored beef with “Huu Mwaka” hit maker Jaguar to which he denied knowing him. ” So what is the beef between you and Jaguar? ” Betty Kyalo quipped. “Who? ” Prezzo asked. “J-a-g-u-a-r “- Betty Kyalo.
  “You mean the car? “- Prezzo. After Betty gave a proper description of Jaguar, CMB Prezzo informed her that he knew nothing about the guy and that he has only heard about him once when he saw a photo of him with a friend who happens to be President Uhuru Kenyatta. ” He is actually fortunate coz I saw him taking a photo with one of my friends, the excellency. And when I asked Uhuru Kenyatta who the hell this guy was, then my people in the background told me he is called jo…..jan…..jog….jagu… what’s the name again? ” Prezzo’s words. According to CMB Prezzo, that is how he found out about Musician Jaguar. he added that jaguar was non-existent to him. Later JAGUAR responded by saying  he has no time to respond to Prezzo who seemed to take a swipe at him meant at picking some more beef when he appeared on that  KTN Bulleting, he further added that Prezzo is either a drug or an alcohol addict who needs urgent rehabilitation.
  2- ALIKIBA & DIAMOND PLATNUMZ
  Wengi wanafahamu Diamond na Ali Kiba ni wasanii ambao hawana uhusiano mzuri. Kupitia interview na MILLARD AYO  mwaka jana, Diamond alifunguka na kusema yeye anafanya biashara na hawezi kuacha kufanya kitu chochote chenye manufaa kwake. Diamond aliongezea yupo tayari kufanya kazi na mtu yoyote na hayupo kwa ajili ya kuweka beef na mtu, anatamani kumsapoti Mtanzania yoyote kwa moyo mweupe kabisa. Kwa upande wa ALIKIBA alinukiliwa kupitia mahojiano na kipindi cha Mambo Mseto ya Radio Citizen na MZAZI WILLY M TUVA akisema maneno sawa na hayo, kuwa yeye hana tatizo na msanii yeyote na yuko tayari kufanya kazi na msanii yeyote yule.
  1- MADEE & NAY WA MITEGO.
  Wafalme Wa Manzese, Madee na Nay wa Mitego, walirejesha hivi majuzi bifu yao. Imerudi upya baada ya Madee kuandika mstari kwenye wimbo wake mpya, Hela ambao umetafsiriwa kumwendea hasimu wake, Nay.
  “Yule kijana wa home sio staa, anatukana hata waliomzaa, wivu tamaa na njaa ukiendekeza ujue kidole utakaa,” Madee amerap kwenye wimbo huo. Baada ya muda mfupi wimbo huo utoke, Nay aliandika kwenye Instagram, “Leo nimesikia Wimbo Mbayaaaaa kuliko nyimbo mbaya nilizowahi kusikia Mwaka huu.” #Perfect255 ilipiga story na Madee kuhusiana na post hiyo ya hasimu wake Nay wa Mitego na alisema haya “Yale ni maoni yake ambayo kila mtu anao uwezo wa kusema lakwake, mimi sina uhakika sana kama amegusa wimbo wangu, kwasababu hajanitaja ila kitu ambacho nimekiona ni watu wengi ndio ambao wamenitag mimi. Lakini muziki wangu ni muziki wa serikali ya Manzese, kama unavyojua serikali inapofanya kitu wizara zote lazima zijue, yeye hayupo kwenye serikali yangu ndio maana haelewi.” Alisema Madee. Pia Madee aliongezea “Huwezi kui-judge nyimbo kwa siku moja, ukii-judge nyimbo kwa siku moja utakuwa muongo sana. Vitu hivyo tumekwisha viona watu wengi sana wamefeli kwa ku-judge wimbo kwa siku moja halafu baada ya siku kadhaa wanajifungia vyumbani mwao wakiusikiliza huo huo wimbo.” Kwa Upande wa NAY alipoulizwa kuhusu kauli yake,alisema haya “Sijataja wimbo wa mtu, sijasema wimbo wa nani kama huyo amejishuku basi wimbo wake mbaya mimi sijataja wimbo wa msanii yoyote ila mimi nimesikiliza wimbo mbaya”.

  LEAVE A REPLY

  Please enter your comment!
  Please enter your name here