Home Lifestyle NAJ : Sina Uhusiano wa Kimapenzi na BARAKA DA PRINCE

NAJ : Sina Uhusiano wa Kimapenzi na BARAKA DA PRINCE

Msanii Wa bongo fleva NAJ amefunguka na kuvunja ukimya na kusema kuwa yeye hana mahusiano yoyote ya kimapenzi na msanii Baraka da Prince.

prince
Baada ya kuenea habari kuwa anatoka kimpenzi na msanii huyo na kusisitiza kuwa Baraka ni rafiki yake wa karibu na hakuna zaidi.
“Mimi baraka ni mchizi wangu wa karibu sana hakuna mapenzi kati yetu,ila siwezi kubadilisha mawazo ya watu kwa sababu wameshafikiria wanavyojua wao” alisema Naj na kuongeza toka aanze urafiki na baraka wana kama mwezi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here