Nassizu Murume Kuachia Video Yake Mpya. 

  ​Msanii King Nassizu Murume,,amesema muda huu hapeani time kwenye game ya Sanaa na tayari jumamosi hii anawachia kazi nyengine mpya inayoitwa siwezi iliyo Fanywa na Johnson Kyalo na audio Tonny Touch.Msanii Huyu amesema ataachia kazi tatu miezi hii miwili inakuja na kulaunch album mwezi Wa NNE huku akijiandaa kusafiri nje ya nchi mwezi Wa Sita kuelekea marekani.

  Na kwa sasa Nassizu ameweza kupata dili kubwa sana mwaka huu akiwa yeye ndiye Brand Ambassador Wa kampuni ya pombe kwa jina 8 Vodka.

  Dili hii ameipata kutokana na bidii yake kimziki na kazi yake kukubalika.

  Video hii mpya inaachiwa officially Jumamosi Ya Leo Club CamFlames Meru.

  LEAVE A REPLY

  Please enter your comment!
  Please enter your name here