Home Lifestyle “Nikifikiria FLAVOR Naenda Kusoma Bibilia “- ATEMI

“Nikifikiria FLAVOR Naenda Kusoma Bibilia “- ATEMI

Msanii Wa Humu Nchini CAROL ATEMI Amefunguka Kuwa Msanii Wa Nigeria Huwa Anampa Mihemko Kila anapomuona, Akizungumza Katika Kipindi cha QFM Kinachoongozwa na RASHID ABDALLA na MUNENE NYAGA, ATEMI Aliongezea Mbali na Kumpenda FLAVOR pia ni Mmoja wa Wasanii Ambao Anakusudia Kufanya Nao Kazi Hivi Karibuni.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here