“Ningependa Kufanya Kazi Na MADINI “- Asema Rayvanny

    Msanii wa WCB,Rayvanny  Amefuguka Kuwa Angependa Kufanya Kazi na Msanii wa humu nchini MADINI ambaye alirudia wimbo wake wa ‘Kwetu’. Akihojiwa na @mzaziwillytuva kupitia Kipindi cha #MamboMseto ya Radio Citizen Rayvanny alisema alipenda sana Kwetu Cover ya Msanii MADINI “Naplan nimtafute MADINI maana naona ni Msanii Mzuri anaweza kupanga mashairi vizuri, ana Sauti nzuri, Mungu akipenda tutafanye naye kitu”

    LEAVE A REPLY

    Please enter your comment!
    Please enter your name here