“No More Sad Songs” – Asema Bahati

    Msanii Mkali Wa Humu Nchini BAHATI, Anapanga Kuachia Kazi Yake Mpya Hapo Kesho Tarehe 28, Ujio Huo Utakuwa Tofaouti Na Kazi Zake Za Awali Ambazo Baadhi Ni Nyimbo Za Kuhuzunisha ama ukipenda machozi,Kupitia Instagram Mkali huyo wa Gospel aliandika “NO MORE SAD SONGS… MELODIES ⭕ 28TH JUNE –>>> #INLOVE” Mwaka Huu Tayari Umeonekana wa Mafanikio makubwa kwa Msanii huyo ambaye hivi majuzi alichanguliwa kuwa katika msimu mpya wa Coke Studio Africa.

    LEAVE A REPLY

    Please enter your comment!
    Please enter your name here