Home Lifestyle ‘Only Death Can Stop Me From Doing Music’ Says Professor Jay.

‘Only Death Can Stop Me From Doing Music’ Says Professor Jay.

Tanzania’s legendary rapper turned politician, Joseph Haule ~ Popularly known as Professor Jay, who made ripples with hits like ‘Nikusaidiaje, Zare La Mentali, Kwaherini among others, put a halt on his music career to vie for a parliamentary seat in their country which he fortunately won.

‘Only Death Can Stop Me From Doing Music’ Says Professor Jay 2

His drastic move to join politics left doubts in his fans who thought that was the end of it for him in the rap music scene.This is also according to rumors about his ‘retirement’ The rapper has come out to refute claims that he has quit music that he is still a musician and he is not going to quit until the day he will die.

 

‘’Nakushukuru sana @babutale kwa kuendelea kuniamini, Pia nimepata salaam nyingi za kunimiss kwenye game kutoka kwa mashabiki wangu wengi sana kutoka kona mbalimbali za dunia hii, Ni kweli kabisa kwamba kwa sasa nina majukumu makubwa sana ya kuwatumikia wananchi wenzangu wa jimbo la MIKUMI lakini hilo halisababishi mimi kushindwa hata kwa uchache kuendelea kufanya Muziki na kuwatendea haki MASHABIKI wangu wa ukweli walionibeba tangu siku ya kwanza mpaka sasa wanaendelea kuwa pamoja sana na mimi, Ikumbukwe mimi ni mwanamuziki na nitaendelea kuwa mwanamuziki mpaka nione kibao kimeandikwa HAKUNA MUZIKI ?

Muziki umenilea, Muziki umeendesha maisha yangu na Familia yangu, Muziki ndio ulionipa Heshima kubwa sana ulimwenguni, Bila MUZIKI leo Nisingekuwa MBUNGE WA MIKUMI, Nawaahidi mashabiki wangu wote mliokuwa mnaniuliza mara kwa mara kama nimeacha kufanya muziki kuwa Nitaendelea kufanya Muziki TILL I DIE, maana hiki ni kipaji cha Hali ya juu nilichopewa na Mungu kwa MAKUSUDI na kwa Upendeleo mkubwa na sio kwa bahati mbaya,

NIMEWASIKIA na muda sio mrefu nitawatendea haki,

ASANTENI sana kwa kuniamini nawapenda sana, Huu ni MGODI UNAOTEMBEA ? ? ? ? ?

STAY BLESSED !!!’’ He posted on Instagram.

 

 
~ OMG
 

Nakushukuru sana @babutale kwa kuendelea kuniamini, Pia nimepata salaam nyingi za kunimiss kwenye game kutoka kwa mashabiki wangu wengi sana kutoka kona mbalimbali za dunia hii, Ni kweli kabisa kwamba kwa sasa nina majukumu makubwa sana ya kuwatumikia wananchi wenzangu wa jimbo la MIKUMI lakini hilo halisababishi mimi kushindwa hata kwa uchache kuendelea kufanya Muziki na kuwatendea haki MASHABIKI wangu wa ukweli walionibeba tangu siku ya kwanza mpaka sasa wanaendelea kuwa pamoja sana na mimi, Ikumbukwe mimi ni mwanamuziki na nitaendelea kuwa mwanamuziki mpaka nione kibao kimeandikwa HAKUNA MUZIKI ? Muziki umenilea, Muziki umeendesha maisha yangu na Familia yangu, Muziki ndio ulionipa Heshima kubwa sana ulimwenguni, Bila MUZIKI leo Nisingekuwa MBUNGE WA MIKUMI, Nawaahidi mashabiki wangu wote mliokuwa mnaniuliza mara kwa mara kama nimeacha kufanya muziki kuwa Nitaendelea kufanya Muziki TILL I DIE, maana hiki ni kipaji cha Hali ya juu nilichopewa na Mungu kwa MAKUSUDI na kwa Upendeleo mkubwa na sio kwa bahati mbaya, NIMEWASIKIA na muda sio mrefu nitawatendea haki, ASANTENI sana kwa kuniamini nawapenda sana, Huu ni MGODI UNAOTEMBEA ? ? ? ? ? STAY BLESSED !!!

A photo posted by Professor Jay (@professorjaytz) on


 
~ OMG

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here